Ni utapeli au napoteza bahati?

Tuma pesa haraka kabla hawajarudisha mzigo kwa mzungu. na hata ikitokea mzigo ukachelewa kufika toka Nairobi usitie shaka subiri tu. Subira yavuta heri mkuu
 
Ndio ile ile ya mashuka ya Kimasai, huku Arusha watu wamelizwa sana.
 
Mkuu Nina ushuhuda mtu wa kupigwa Kwa style hio akabaki na den la laki nane na nusu,pia mm mwaka Jana akaja mzungu mmoja Kwa gear iyo iyo nikawa achia mzigo wao hapo Kenya 😂😂 sitakag ujinga mm Yan nimeona mtu kapigwa Kwa mfumo huo na mm Tena nijichanganye,Aya juzi Tena kuna mzungu kanichek FB anasema katokea Canada yupo mwanza ila ajabu anataka nitumie pesa kwenye card yake sijui na nn nikampotezea mazima,hawa rangi nyeupe siku izi nao wekua wakina Mr kasongo 😂😂😂😂
 
Matapeli hao usikute wapo hapa hapa bongo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hawa jamaa bado wapo kumbe? Zamani walikuwa wanafanya hivi kwa email 😁

Unaenda kuibiwa na wahuni ambao huenda wapo Manzese tu hapo japo matapeli wengine sio watanzania 😂😂😂😂


Ni MATAPELI hao na wameibia watu wengi sana.... Hapo lazima ulitumiwa picha kali, location kali sana ukajaa 😁


NB
Mkuu wewe ni mgeni sana wa mitandao?

Kwa Sababu siamini kama umejaa kwa njia ya zamani kama hii.
 
Cha muhimu mpigie huyo mzungu mwambie mzigo umeupata na umefurahi sana.
 
Matapeli wasikuhizi wanatumia akili sana.

A few moment later at Airpot👇


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…