The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #101
ok sweet here i come..
naomba unijibu hapa familia baba, mama na watoto wawili
na mama ni mjamzito wa mtoto wa tatu..
baba ni mfanya kazi na baba ndo analeta kipaji nyimbani
mama hana kazi, ni mama tu wa nyumbani..
tatizo linakuja hapa, baba ni mlevi
anarudi nyumbani saa sita za usiku
akija chakula kiko mezani ana
kula halafu anaingia chumbani..
mama anasema we kwanini kila siku unachelewa nyumbani??
wanaanza kugombana, baba anapatwa na hasira ananza kumpiga mkeo..
watoto wanaamka ajili ya makele,
siku nyingine baba namfukuza huyo mama nje ya nyumba
usiku wa manane, lakini mama anavumilia
kwa sababu ya ahadi walizotoa kanisani na watoto wao..
siku ya siku imefika baba anamfukuza mkeo
kwa sababu amepata mwanamke mwingine
na mkeo hataki kuondoka ,
basi baba anamwacha mkeo na watoto
bila income yeyote yeye anapotea..
Je huyu mke alistahili kuvumilia kwa muda huo wote????
mtu wangu niaje aisee....!hivi naomba unipe link yako kule facebook nataka tuchat kidogo,mi pm siko vizuri,au kama vipi haya messenger!ok sweet here i come..
naomba unijibu hapa familia baba, mama na watoto wawili
na mama ni mjamzito wa mtoto wa tatu..
baba ni mfanya kazi na baba ndo analeta kipaji nyimbani
mama hana kazi, ni mama tu wa nyumbani..
tatizo linakuja hapa, baba ni mlevi
anarudi nyumbani saa sita za usiku
akija chakula kiko mezani ana
kula halafu anaingia chumbani..
mama anasema we kwanini kila siku unachelewa nyumbani??
wanaanza kugombana, baba anapatwa na hasira ananza kumpiga mkeo..
watoto wanaamka ajili ya makele,
siku nyingine baba namfukuza huyo mama nje ya nyumba
usiku wa manane, lakini mama anavumilia
kwa sababu ya ahadi walizotoa kanisani na watoto wao..
siku ya siku imefika baba anamfukuza mkeo
kwa sababu amepata mwanamke mwingine
na mkeo hataki kuondoka ,
basi baba anamwacha mkeo na watoto
bila income yeyote yeye anapotea..
Je huyu mke alistahili kuvumilia kwa muda huo wote????
Mapungufu ya kibinadamu is just a mere excuse! Watu wengi wanapenda sana kulitumia neno hili, lakini mimi binafsi huwa silitumii...
Nikiwa kwenye mahusiano na mwanamke na akaanza kila kukicha maongezi yetu lazima yawe na neno "I'm sorry" - I simply quit without saving.
Ukimlea Mjusi anaweza kuwa Mamba na kukumeza! Kuacha wangapi ni "relative term" - Mbona kila siku unanua suruali au shati jipya - the same rule should apply in "REAL WORLD"! Siwezi kulazimisha nafsi yangu kukaa na usongo wa mawazo kwa kisingizio kuwa kuna siku mwenza wangu atabadilika - hiyo ndiyo mnaita uvumilivu - wakati sijazaliwa naye wala kulelewa naye, no. never
Mimi sina uvumilivu na sitakuwa na uvumilivu, hata kama ni kuwa na mahusiano elfu kumi before I'm six feet under, It is OK...
Waache wafu wazike wafu wenzao - usikae na kuishi na "mizoga" hoping that will be resurrected!
ok sweet here i come..
Naomba unijibu hapa familia baba, mama na watoto wawili
na mama ni mjamzito wa mtoto wa tatu..
Baba ni mfanya kazi na baba ndo analeta kipaji nyimbani
mama hana kazi, ni mama tu wa nyumbani..
Tatizo linakuja hapa, baba ni mlevi
anarudi nyumbani saa sita za usiku
akija chakula kiko mezani ana
kula halafu anaingia chumbani..
Mama anasema we kwanini kila siku unachelewa nyumbani??
Wanaanza kugombana, baba anapatwa na hasira ananza kumpiga mkeo..
Watoto wanaamka ajili ya makele,
siku nyingine baba namfukuza huyo mama nje ya nyumba
usiku wa manane, lakini mama anavumilia
kwa sababu ya ahadi walizotoa kanisani na watoto wao..
Siku ya siku imefika baba anamfukuza mkeo

Halafu mambo unayofanya sio vizuri mambo gani ya kutesana hivyo bwananever give up my brother........
Was wondering where were you all this time
:coffee::coffee:ndo unaamini leo?? wenzio miaka nenda rudi....:twitch::twitch:
Ngoja nipate :coffee::coffee::coffee: kwanza nikitafakari vizuri
:clap2::clap2::clap2:Was busy with my dear bottle - and now she has just given me 5 minutes!
Uvumilivu ni dalili ya kufikia mwisho wa kufukiri - Agree to Disagree - We normally arrive at a conclusion when we stop thinking! Baba_Enock never stops thinking!
ok sweet here i come..
Naomba unijibu hapa familia baba, mama na watoto wawili
na mama ni mjamzito wa mtoto wa tatu..
Baba ni mfanya kazi na baba ndo analeta kipaji nyimbani
mama hana kazi, ni mama tu wa nyumbani..
Tatizo linakuja hapa, baba ni mlevi
anarudi nyumbani saa sita za usiku
akija chakula kiko mezani ana
kula halafu anaingia chumbani..
Mama anasema we kwanini kila siku unachelewa nyumbani??
Wanaanza kugombana, baba anapatwa na hasira ananza kumpiga mkeo..
Watoto wanaamka ajili ya makele,
siku nyingine baba namfukuza huyo mama nje ya nyumba
usiku wa manane, lakini mama anavumilia
kwa sababu ya ahadi walizotoa kanisani na watoto wao..
Siku ya siku imefika baba anamfukuza mkeo
kwa sababu amepata mwanamke mwingine
na mkeo hataki kuondoka ,
basi baba anamwacha mkeo na watoto
bila income yeyote yeye anapotea..
Je huyu mke alistahili kuvumilia kwa muda huo wote????
Mapungufu ya kibinadamu is just a mere excuse! Watu wengi wanapenda sana kulitumia neno hili, lakini mimi binafsi huwa silitumii...
Nikiwa kwenye mahusiano na mwanamke na akaanza kila kukicha maongezi yetu lazima yawe na neno "I'm sorry" - I simply quit without saving.
Ukimlea Mjusi anaweza kuwa Mamba na kukumeza! Kuacha wangapi ni "relative term" - Mbona kila siku unanua suruali au shati jipya - the same rule should apply in "REAL WORLD"! Siwezi kulazimisha nafsi yangu kukaa na usongo wa mawazo kwa kisingizio kuwa kuna siku mwenza wangu atabadilika - hiyo ndiyo mnaita uvumilivu - wakati sijazaliwa naye wala kulelewa naye, no. never
Mimi sina uvumilivu na sitakuwa na uvumilivu, hata kama ni kuwa na mahusiano elfu kumi before I'm six feet under, It is OK...
Waache wafu wazike wafu wenzao - usikae na kuishi na "mizoga" hoping that will be resurrected!
mtu wangu niaje aisee....!hivi naomba unipe link yako kule facebook nataka tuchat kidogo,mi pm siko vizuri,au kama vipi haya messenger!
ile makitu bado aisee
RISITI ya amani
hapana,apotee haraka.....:a s 20::a s 20:
unanidai bia ya pili hapa....!Was busy with my dear bottle - and now she has just given me 5 minutes!
Uvumilivu ni dalili ya kufikia mwisho wa kufukiri - Agree to Disagree - We normally arrive at a conclusion when we stop thinking! Baba_Enock never stops thinking!
hata awe na vituko kumi elfu nitamvumilia as far as ntajiridhisha kuwa bado ananipenda, ni kweli wenzio anaweza kukukera ila haina maana kuwa hakupendi.
Ha ha ha
Sent by Teamo from Kijiji cha Amani, Powered by Unatakaaa...........
Ha ha ha ha unaweza kuvumilia weweeeeeeeeeee!!!!!Jamani kuvumilia sio kitu kizuri, tuachane nacho tu
Nakujibunimekutumia PM
umeona??