kuna kanali wa jwtz kajinyonga juz kat kutokana na hayo hapo mwanzo, nilisikitika sana kwan jamaa alifiwa na wazaz wake akiwa mdogo sana, kasomeshwa na wajomba kwa shida shida sana, mwishowe akakutana na kinyongeo.Ni jambo jema ila azingatie haya natatu manne
1: Mwanamke mzinzi hasamehewi katu katu
2: Mwanamke wenye dharau hasamewi hata kwa bahati mbaya.
3; Mwanamke mwenye kiburi anaekukoromea hakufai.
4:.....................................................................................................................................
Mwanamke msamehe kwa haya anaweza kujirekebisha
1 kapika vibaya
2 mchafu
3 Kazidisha chumvi
4 ..........................................................
USIKUBARI USHAURI KWA YEYOTE YULE 1-4 YA HAPO MWANZO.
POINTKama kipato chako kwa siku hakizid elfu 20 usioe
Kama hujafikisha miaka 30 usioe
Jenga kwanza ndo uoe,msipende kutaga kwenye nyumba za watu
Usimlazimishe sana mwanamke unaetaka kumuoa
Usioe kwenye familia masikini sana
Vigezo vya mke broKama kipato chako kwa siku hakizid elfu 20 usioe
Kama hujafikisha miaka 30 usioe
Jenga kwanza ndo uoe,msipende kutaga kwenye nyumba za watu
Usimlazimishe sana mwanamke unaetaka kumuoa
Usioe kwenye familia masikini sana
Kama hupigi vyombo anza kupiga mara moja. Wapiga vyombo hua tunakua na solution ya matatizo yote. Na ukiona umeharibu unapiga tena tena vyombo unapata utatuzi wa uharibifu wako and so on mpaka unajikuta you are happy.Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
Ajikomboe kwanza na ahakikishe amelikomboa taifa iliwe huru nao wawe huru.Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa