Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
.... coverage wanayopewa wachezaji wa zamani wa Real Madrid (wengine ni wazee kuliko mimi) ina manufaa gani katika michezo au uchumi wa nchi hii? Ingekuwa hii mechi ni charity ningeelewa lakini ujinga huu!!!!!!!!
Na asiniambie mtu kuwa eti itakuza utalii because I simply don't buy it. Kama hiyo alone ingekuwa strategy ya kukuza utalii basi ingeshatumika elsewhere! Nasubiri kusoma kesho: "Tanzania yaifunga/yafungwa/yatoka sare na Real Madrid"
No wonder watu walichagua bogus kuwa rais wa nchi hii based on what the rags told them!