Siku iz tukipata watoto tu cha kwanza ni IG account,bank account atajijua mwenyew.Likes za ndugu zetu zitawasomesha nadhani.
Halaf account ya mtoto inapost I LOVE YOU DAD-unacoment I LOVE ungeweza kufikisha ujumbe na ukaeleweka hapa ukitukanwa usilalamike....