hizo hadithi tu, nguva anaitwa dugong, ni samaki ila ananyonyesha ndo maana anafananishwa na mwanamke, ukienda makumbusho ya taifa utamkuta
ok,na hana muonekano wa kufanana na binadam kisura??
hafanani na binadamu hata kidogo, sura yake inaelekeana kwa mbali na kiboko mtoto
Kuna simulizi za ajabu ajabu kuhusu huyu samaki; kwa mfano wanasema kwamba mvuvi akimvua lazima kwanza afanye naye tendo la ndoa kama tambiko.
Kwa hiyo tunaweza sema kipo lakini si kiumbekwa ulimwengu wa zoology na botany au flora na fauna hakuna hiki kiumbe.., hii specie haipo,,,
Ila kwny ulimwengu wa majini na mashetani hiki kiumbe kipo.., mzizimkavu kuja hapa elezea hii mambo
hakuna samaki mrembo namna hiyo, nguva wa ukweli yuko pale makumbusho ya taifa.