piga hesabu tu 35000 kutoka tarime inakupeleka mpaka wapi Tanzania hii.In terms of maupendo hakuna cku utachukua tochi kumlika kujua who is right hapo hyo 35 inaweza ikaja na mazuri au iende na maji. Afanye n kama anabet tu mbona mhindi anakula nyingi tu kwan asimwachie mwafrika tena mtanzania mwenzake labda anaeza akageuza meza mkeka ukatick. Na kwan hyo 35 kutoka tarime hadi wapi mkuu ndo twende sawa kwa hili
nina maana yangu kuuliza hvo ndugu jaga kaya yaan nilitaka nitafte katikati ya hzo sehemu mbili sa kunambia hivo n kama barabara ni moja tu kutoka tarime hyo n akili mlalo na sipendpiga hesabu tu 35000 kutoka tarime inakupeleka mpaka wapi Tanzania hii.
sio wakurya, wajaluo.Kwa hiyo anaamini kabisa huko binti aliko hamna wanaume? Tena Tarime?
Na toka lini kwa Wakurua wazazi wakakataa binti asiolewe? Wakati shule kwao sio kipaumbele, na wanaozesha mabinti wakiwa na miaka 16 tu? Huyo binti anayesema wazazi wake wamekataa asiolewe haoni haiingii akilini?
Ukweli ni kwamba, huyo binti atakuwa "HAOLEKI" kwa mazingira aliyopo kwa sababu mbalimbali.
Sababu zinaweza zikawa ni hizi:
1. Kwao ni wachawi sana mpaka panaogopwa.2. Kwao wana magonjwa ya kurithi ndo maana wanaume wanapakimbia.3. Ni kicheche sana mpaka wanaume hawamtaki kumuoa.bali wanamchezea tu.4. Kwao wana nuksi, ukioa hiyo nyumba basi mikosi haiwezi kukuacha salama.[INDENT
Haingii akilini binti yuko tu nyumbani, kisha eti adai wazazi hawataki aolewe!
Kwa mkurya unasema uongo ila kwa kina Manka Hope urassa ni uhakika ulichosema.. shenzy shenzyNa kama ni mkurya ataila kweli na hatokuja Fake P nasema uongo?
Hahahaha ni kweli fake , Nina uzoefu na mmoja wa roryaKwa mkurya unasema uongo ila kwa kina Manka Hope urassa ni uhakika ulichosema.. shenzy shenzy
Umekutana na mjaluo wa rorya utegi ndani ndani🤣🤣🤣 .unakuja kusumbua Kuryan warrior.Hahahaha ni kweli fake , Nina uzoefu na mmoja wa rorya
Hapana ni mkurya pure , pisi moja ya moto kiuno kama nyingu🤣Umekutana na mjaluo wa rorya utegi ndani ndani🤣🤣🤣 .unakuja kusumbua Kuryan warrior.
Kafie mbele huko Mimi sio riri kwamba I love the way u lie😁😁😁Hapana ni mkurya pure , pisi moja ya moto kiuno kama nyingu🤣
Huendahuenda binti ni kweli anataka kuolewa.
Mwambie hio 35,000 amtumie mama yake ataenda kupalilia ule mwembe pale nyuma aliofukia kitovu chake na itamsaidia zaidi..Je, hapa jamaa atume nauli au asubiri binti atafute nauli aje mwenyewe, au aachane na mpango huo?
Ushauri wenu ni muhimu.