Ni Uongozi au Ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Uongozi au Ufisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Jan 13, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Service or Selfishness?

  Kitengo cha uchunguzi cha Zogby International kimeonyesha na kugunduwa kuwa asilimia 69.2 ya Watanzania are “strongly agree” that rushwa na/au ufisadi ni tatizo kubwa katika Serikali ya Tanzania. Another 22.7 percent ya Watanzania “somewhat agree” with that statement, ikimaanisha kuwa more than 90% consider corruption a significant problem katika Serikali ya JK.

  The sad history of politics-and by no means just in Tanzania-ni kwamba, viongozi wa Serkali ya Tanzania often serve their own interest more than the interest of those they govern, ikimaanisha walala hoi, and it is often at the expense of those they had supposedly dedicated themselves to serve.

  Tanzania ilipopata Rais mpya, mwenye ari na nguvu mpya!, Watanzania wengi walifikiria na kutegemea kuwa, maisha yao yatabadirika hara na kuwa bora, kama usiku unavyo kwisha na kuwa mchana, au kama Kinyonga anavyo badirika rangi, la hasha. Serikari ya Tanzania imeendelea na utamaduni uleule wa kuexchange viongozi kama karata. Will these defacto public servants in the next one year, before the election of 2010, fulfill the Tanzania dreams and hopes, or confirm their fears? Au bado wataendelea na policies zilizopitwa na wakati, na kuedekeza selfishness/ufisadi kama ilivyo utamaduni wa SI SI EMU?

  Only time will tell. But if history reveals the answer, the same cycle-selfishness and even corruption and cronyism-will be repeated over and over again, since SI SI EMU bado tunawapenda na kuwapa nchi ya Tanzania, kama vile hakuna watu wengine wenye uwezo na akili ya kuongoza NCHI. Watanzania wamekubali kuwa kama roboti inayoongozwa na SI SI EMU.

  When will the cycle end? Will it ever end? Will the Tanzanians be ready for a CHANGE, and be governed in true equity, righteousness and selflessness, by moral principles, for the benefit of the governed (Watanzania)?

  The answer may surprise you.

  Be blessed.

  Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Bila ya kuwango'a mafisadi. Ndoto ya Watanaznia itabakia vichwani mwao. Kamwe Tanzania haitatoka pale ilipo, kwenye shimo la kifisadi.

  Mafisadi lazima wang'olewe 2010.
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Tanzania bado hakuna uongozi. Tusubiri 2010, labda tutapata kiongozi, at the moment NO. Bado tunaongozwa na chama cha mafisadi.

   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  2010 inakuja, CCM itapeta tena, sio kwasababu inapendwa, bali kwa sababu hakuna altenative. Mimi ni mmoja wa wapenda mabadiliko, pro-change. Kura yangu ya urais nimeipeleka CCM kwa sababu there was no altenative. Naamini wako wengi wa type yangu.

  Sababu kubwa ni hakuna dalili ya dhati ya wapinzani kuungana na kumsimamisha mgombea mmoja.
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Watanzania wameichoka CCM na wako tayari kwa mabadiliko lakini bahati mbaya selfishness ya wanasiasa wetu inawaangusha wananchi. CCm haifai na hata wenyewe wanajua hilo lakini wako wapi watu wakuiongoza nchi hii kwa usalama?? hao wanaojiita wapinzani ndio hao wanashindwa hata kusikilizana kusimamisha mgombea ubunge mmoja!!CCm haifai,tuombe mwenyezi Mungu atushushie muujiza nchi yetu ikombolewe toka kwa hawa mafisadi!! Hawa wanaojiita wapinzani RUZUKU kiduchu wanayoipata inawachanganya je wakipata dola kweli wanaweza kuwa tofauti na CCm??
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Good argument, hatuna wapinzani wenye nguvu. Then, what should Tanzanians do, to get wapinzani wenye nguvu?
   
 7. s

  skasuku Senior Member

  #7
  Jan 13, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa watu wenye upeo wa mbali na nguvu zakuleta mabadiliko ni bora wajiunge na CCM, nakuleta hayo mabadiliko tokea ndani ya CCM. Ukiangalia vyama vyote vya siasa TZ, utakuta ni CCM pekee yenye

  - solid structure na group dynamics
  - coverage kubwa if not nchi nzima
  - ina support ya vyombo vya ulinzi na usalama
  - tayari wanayo policies nzuri (ila utekelezaji zero)
  - Hakuna ukabila, udini, au matabaka yasio na msingi
  - n.k ... n.k...

  Kwa mtu mwenye kutaka kuleta mabadiliko kuanzisha chama kipya, itakua ni ndoto kuweza ku achieve walicho nacho CCM in a short period of time. Kuweza kujenga chama chenye mshikamano ndio usiseme, kama hujakuta private agendaz basi utakuta hicho chama kinapata a poor following.

  Kama usemi mmoja mashuhuri usemavyo "If you can't beat them, then join them" then "Start change from within this huge machinery"

  Binafsi huu ndio mwangalio wangu binafsi... I am sure there are other options.
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Weka link au source ya huu utafiti p'se.
   
 9. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utaingilia wapi SiSi Emu wakati hao mafisadi wamesha pandikiza miziz mpaka kwa watoto wao na vizazi vijavyo. Hao mafisaaadi ndio wenye pesa za kuwalaghai wananchi ili wapewe kura za kula. Hao mafisadi juzi tu walisema eti wewe kama haupo kwenye sistimu ujue ni ndoto kukamata madaraka. SWALI ni nani aliyepo kwenye sistimu? ni nani atakeyepandishwa madarakani?? JIBU ni bora tuwapandishe kizimbani kwanza, mengine tutajiju mbeleni. Watanzania kweli sasa maji ya shingo. Fisaadi amebana kila mfereji wa kupumulia. Na hewa tunayovuta tungekuwa tunanunua basi Tanzania ingebaki na mafisadi tuu
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Asante mkuu. Milango yote SI SI EMU imefungwa. Wengine tukazemikanda na kufanye alivyo fanya OBAMA.
   
Loading...