Ni ukweli CCM inaweza kuwa imeingilia kanzi data ya NIDA!?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,494
Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
 
Sasa ikiwa mfumo umeungwa tayari,

Nia ya kuchukua namba yako ya nida ni Ili iweje?
 
Majibu hayo ni kama kuambiwa u-mgumba; ukijua ni mateso, usipojua ni mateso, huna unaloweza kufanya.

Yooote wanayoyajua watanganyika kuhusu ccm, kuna wanaloweza kubadili? Wameshawahi kufanya jambo tofauti?
 
Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Mkuu uajua kwanini huko nyuma mtoto wa mlamba asali alikuwa na nguvu sana, jibu ni kuwa yeye na swahiba wako mandondo ndio walishikilia code za mfumo wote, hii ikawa inampa kiburi mbele ya wamiliki wa shamba la mboga mboga, walichokifanya ndicho hicho unachokisema, kifupi wakaanza upya nje ya mfumo aliokuwa ameshikilia mtoto wa mlamba asali na jamaa zake, na wamefanikiwa hapo ndio ukawa mwisho wa jeuri ya mtoto wa mlamba asali, data base aliyoiringia ilikuwa obsolete!
 
IMG-20250823-WA0105.jpg
 
Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Kweli kabisa alichosema polepole na unachozema wewe viongozi wa matawi wa ccm nchi nzima hupita kuandikia namba za nida nz kitambulisho Cha kumpigia kura , ukweli mtupu.
 
Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Hahahaha, Mkuu mbn HP alishema mwanzo ulikua MIPANGO MZURI TU, lengo lilikua kila anayepewa KADI ya chama chao awe mtanzania halisi nasi mgeni,maana CCM KADI wanazo Hadi wageni ,wanyasa,wamakonde kudhibiti ikawa NIDA inahitajika

Zoezi la kuandikisha wapiga kura , wajumbe wakawa wanapita Kwa watu wao kuona kama ulijiandikisha kupiga kura ni mwanachama wao ,Kwa maana una KADI ya NIDA,ya CCM na sasa unaenda kupiga KURA ,hivyo wawe na uhakika WA hiyo KURA

KUKBE WAHUNI WALIKUA NA PLAN B ya kuwapigisha KURA wote hata asiye Ccm atapiga Ccm,hajajiandiksha atapigiwa kura yake Ccm , Mfumo
 
Mkuu kuhakikisha kuwa mpiga kura ni mzawa na mwannchi wa Tanzania, hilo ni jukumu la serikali, siyo chama.
Kweli kuna figisu.
 
Back
Top Bottom