Inachekeaha ila jamaa alikuwa na uchungu sana. Imagine umeenda na jamaa yako kutafuta life China halafu auawe. Halafu mara Wachina waigeuza moment yako ya uchungu kuwa meme