mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Aug 25, 2012 #61 Rjohn said: ujinga kutema mate ukiona mav badala ya kutoa kamas Click to expand... ni ujinga kunya ukiwa umechuchumaa.
Rjohn said: ujinga kutema mate ukiona mav badala ya kutoa kamas Click to expand... ni ujinga kunya ukiwa umechuchumaa.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,359 Reaction score 88,543 Aug 25, 2012 #62 Ni ujinga kuwashobokea wazungu huku kwetu wakati tukienda kwao wanadharau na kutuona mkaa na masokwe!
Ni ujinga kuwashobokea wazungu huku kwetu wakati tukienda kwao wanadharau na kutuona mkaa na masokwe!
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Aug 25, 2012 #63 Chikaptula.....
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Aug 26, 2012 #64 ni Ujinga kukaa nyumbani na kusubili kalani wa SENSA.
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 Aug 28, 2012 #65 Aaron said: ni Ujinga kukaa nyumbani na kusubili kalani wa SENSA. Click to expand... ujinga kugomea sensa!
Aaron said: ni Ujinga kukaa nyumbani na kusubili kalani wa SENSA. Click to expand... ujinga kugomea sensa!
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,920 Reaction score 3,244 Aug 28, 2012 #66 mchemsho said: ni ujinga kunya ukiwa umechuchumaa. Click to expand... kwahiyo wewe huwa unasimama?
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 Aug 28, 2012 #67 Apollo said: kwahiyo wewe huwa unasimama? Click to expand... kuna vyoo vya kukaa mind you!
C CHOMA Senior Member Joined Aug 22, 2012 Posts 118 Reaction score 9 Aug 28, 2012 #68 Ni ujinga kula ugali mkubwa kwa kutumia picha ya Samaki ukitamba kuwa wewe ni mjeshi kumbe shida zimekutanda hadi kope za macho.
Ni ujinga kula ugali mkubwa kwa kutumia picha ya Samaki ukitamba kuwa wewe ni mjeshi kumbe shida zimekutanda hadi kope za macho.
C CHOMA Senior Member Joined Aug 22, 2012 Posts 118 Reaction score 9 Aug 28, 2012 #69 Kuulizia vyoo vya African type kwenye duka la Hardware wakati unaweza kuvichimba na kuvijenga hata kwa matofali ya kuchoma.
Kuulizia vyoo vya African type kwenye duka la Hardware wakati unaweza kuvichimba na kuvijenga hata kwa matofali ya kuchoma.
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,920 Reaction score 3,244 Aug 29, 2012 #70 kookolikoo said: kuna vyoo vya kukaa mind you! Click to expand... Mhhhhhhh. Nikipiga mahesabu ya angle ambazo utakuwa umejikunja hauna tofauti sana na aliyechuchumaa. :nerd:
kookolikoo said: kuna vyoo vya kukaa mind you! Click to expand... Mhhhhhhh. Nikipiga mahesabu ya angle ambazo utakuwa umejikunja hauna tofauti sana na aliyechuchumaa. :nerd:
kingxvi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 879 Reaction score 152 Aug 29, 2012 #71 King Kong III said: Ni ujinga kuwashobokea wazungu huku kwetu wakati tukienda kwao wanadharau na kutuona mkaa na masokwe! Click to expand... wewe ni mweusi sana eti?
King Kong III said: Ni ujinga kuwashobokea wazungu huku kwetu wakati tukienda kwao wanadharau na kutuona mkaa na masokwe! Click to expand... wewe ni mweusi sana eti?
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 30, 2012 #72 ujinga kutoelewa naongelea nini
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 Aug 30, 2012 #73 QUALIFIED said: ujinga kutoelewa naongelea nini Click to expand... ujinga kujiona unajua kuliko wengine!
QUALIFIED said: ujinga kutoelewa naongelea nini Click to expand... ujinga kujiona unajua kuliko wengine!