Ni Ujinga sana Kufa kisa Mange Kimambi

Ni Ujinga sana Kufa kisa Mange Kimambi

Wajinga ndio waliwao,
Sarungi ata Kuja kumzika Baba yake tu mzazi aliogopa kajifungia uko Kenya na Basha wake anakuambia wewe utoke barabarani
Mange anasema ile tarehe 29 jamaa lake lilimpokonya simu akalala sana, Ila Leo we kiazi upo zako Kimara Bonyokwa unafanya Riot very pathetic
 
Wajinga ndio waliwao,
Sarungi ata Kuja kumzika Baba yake tu mzazi aliogopa kajifungia uko Kenya na Basha wake anakuambia wewe utoke barabarani
Mange anasema ile tarehe 29 jamaa lake lilimpokonya simu akalala sana, Ila Leo we kiazi upo zako Kimara Bonyokwa unafanya Riot very pathetic
We jamaa una akili sanaa
 
We kumar, sisi hatumpiganii mange, sisi tunalipigania taifa letu, mnaiba mali za taifa, mnajifaidisha.. huyo mange yuko zake marekani ya huku wala hayamgusi.
Huyo mange alishapiga sana kelel mtandaoni watu wakawa wanamuona chizi
Why now, watanzania wamechoka, wameamka, wameelimika.. zama hizi sio zile za 50 kweusi, nyerere anatizama tv ikula anaamka anawatangazia.

Nchi ina gesi, bandari, madini usiseme lakini tupo tupo tu, chora graph ya maliasili zetu vs maendeleo ama uchumi wetu, utaona zhing zhong..
Vipi muda wa uhuru vs maendeleo?

TUMECHOKA, makumar nyinyi
Keyboard warrior detected
 
Kiongozi mwingine wa haya maandamano anaitwa Dayon Monson ambaye ni mwanaume aliyebadilisha jinsia na kuwa mwannamke.. imagine unaenda kuhatarisha maisha yako kwa kuhamasishwa na Dayon?!!
 
Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.

Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.

Yani akili huna ila hata kuona huoni?

Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?

Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.

Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.

Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
Andika hivi ni ujinga sana vyombo vya kulinda wananchi kuua wananchi wake
 
Ila tuache utani, CCM wamejifunza kitu flani mazee! Kuna alama watawala wamebaki nayo.
Nafikiri ndio lilikuwa lengo. Yaani kuwafunza kitu flani ambacho walikuwa wanaona hakiwezekani.
 
Back
Top Bottom