Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…