Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Ni aibu kwa wanaojiita Wapinzani kushinda mtandaoni kuilaumu Serikali kwa kunyimwa Misaada. Badala ya kutoa mawazo mbadala ya Nchi kujitegemea mnaonesha upeo finyu wa kufikiri kwa kuendelea kuamini kuwa Tanzania itaendelea kwa Misaada.. Kama maandamano yameisha chapeni kazi hata kulima nyanya!!