masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,898
- 15,126
Hao jamaa hawajipendi kabisa!ujinga .....
Hapo sijui wanataka kumAl -Sbabab bosi au vipi?kujitoa muhanga
yaaani.....Hao jamaa hawajipendi kabisa!
View attachment 116452Hawa jamaa , dereva na utingo wake, wamepata pancha barabarani.Katika kusubiri msaada toka kwa bosi wameamua kulala chini ya gari, na jeki yenyewe mchina.
No warning sign mbele wala nyuma, mi nasema ni ujasiri, wewe wasemaje?
Ujinga mwingine bhana! Ni kama huyo jamaa aliyemuua mama ufo then kumjeruhi ufo na yeye kujimaliza sipati picha nini faida ya ujinga kama huo?
Pombe!