Nina mtoto wangu ametoka vitu kama utangoutango ila ni vyeusi kila dawa nimetumia ila naona hakuna matokeo mazuri. Je, ni ugonjwa gani na je nitumie dawa gani apone, ana miaka 10 ni wa kiume na ulimuanza toka akiwa na miaka 6.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app