zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Wana JF wenzangu habari za mida hii! Hili jambo linanifanya hadi mimi mwenyewe najishangaa. Mimi nina uwezo wa kuunganisha round 1 hadi ya 10 bila kupumzika ktk kusex. Ila kasoro yangu girl akichoka akitaka tupumzike, basi nakuwa sina mzuka tena. Yaan zoezi linaweza kuishia hapo kwa siku hiyo.
Kifupi siwezi kufanya ule utaratibu wa wanaume wengi hapa Dar wa kupumzika pumzika katika kusex. Mimi nikianza nimeanza jambo linalonikimbizia wapenzi weng. Yaan huwa hawataki kurudia nami. Sijawahi kutumia dawa yeyote ya kuongeza nguvu ya kiume. Mimi n mazoezi, kula dona, magimbi, matunda. Si mtuamiaji wa soda wala bia.
Je, nina tatizo au?