Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
Ukitaka kuwika wika tu lakini si kwa makelele na mbwembwe za huko utokako! Pia jukwaa hili ni la watanzania
ambao hawajui wala hawatumii herufi x labda mwezi wa desemba wanapozungumzia xmas.