Ni ugeni tu!

Ni ugeni tu!

Ukishazoea basi usijisahau ukawika Mchana...

Karibu.
 
Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
Ukitaka kuwika wika tu lakini si kwa makelele na mbwembwe za huko utokako! Pia jukwaa hili ni la watanzania
ambao hawajui wala hawatumii herufi x labda mwezi wa desemba wanapozungumzia xmas.
 
We bado mgeni karibu sana
Toka 2013 msg hata 500 hauja fika!!! Au haukuwa impressed na mkaribisho wao?

Karibu sana tena bas
 
Back
Top Bottom