Ni toy au ya ukweli?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,293
DogoJanja.jpg
 
ya ukweli hiyo, kuna siku nasikia alipiga risasi juu akiwa maeneo ya studio
 
Uhuni tu kwanza alitakiwa akamatwe ameitoa wapi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nchi hii polisi wanawaogopa na kuwatetemekea wasanii, na kuwanyanyasa wapinzani. Vipi hiyo bunduki isiyo na kibali angekamatwa nayo TUNDU LISU?
 
picha ipo wapi weka link bathi buji <!-- google_ad_section_end -->
 
Back
Top Bottom