Ni Tanzania tu ndio Waziri wa Fedha anahangaika kumsifia Rais

🙌🙌🙌🚮

downloadfile-18.jpg
 
Mna shida gani na Rwanda..walimopitia km nchi wewe ungeweza kufika walipo sasa? Acheni chuki na wivu wa kijinga, mtu anayetambua vile alivyotujalia Mwenyezi Mungu ukilinganisha na Rwanda hana muda wa kusema sema kuhusu Rwanda..hivi wao ndio sababu ya Tanzanua kutoendelea na kutumia rasilimali zilizopo vizuri?
sasa unataja taja nini nchi za watu ambazo watu wanaopotezwa kimya kimya kwa hila, hata mkosoaji awe mahali gani duniani lazima afuatwe na kupotezwa 🐒

we kainchi kenyewe sawa na mkoa wa mwanza tu unakuja hapa kifua mbele ati sijui ngweeengweengwee nini 🐒

useless with no details comparison informations 🐒
 
Hapa watu hawapotezwi? linaongelewa jambo la tabia kusifia sifia wewe unaleta chuki kwa mambo ambayo hata hapa yapo, nchi kama Rwanda kwa historia yao na hapo walipofikia kuna ya kujifunza..seriousness and respecting each other, siyo mizaha, unafiki na kudharauriana kunakofanyika hapa.
Details gani unazo mpumbavu wewe..sababu ya failures zako unajenga chuki na wivu, kama unachokozwa deal nao kimya kimya, tunataka kuona vitendo siyo kushout upumbavu hapa!
 
Huwezi kuta hata waziri wa Fedha wa Rwanda anapost picha ya Kagame akimsifia sifia usidhani hakuna kitu wanafanya, wanafanya mengi ila huwezi kuta waziri wa Fedha wa Rwanda anafanya huo Ujinga.Burundu the same, Uganda the same.

Kenya ndio kabisa Waziri wa fedha hawezi na haitakaa itokee kufanya uchawa wa kuabudu Ruto.

Sasa njoo Tanzania Facebook profile ya waziri wa fedha imejaaa picha za Raisi Samia yaani haipiti wiki hajasifia. Hizi ni dalili za udhaifu na njia pekee ni kwa waziri kuabudu na kulamba miguu.

Nina uhakika tungekuwa na Waziri wa Fedha kama Kimei asingefanya huo ujinga.

Hata mpango alikuwa hafanyia huo ujinga wa dailt kusifia.

Mwiguru nimweupe sana kichwani, na njia pekee ya yeye kuendelee kuwepo offisini na kupiga pesa ni yeye kusifia na kuabudu
View attachment 2963678

Pia soma: Mwigulu: Licha ya Rais Samia kupokea nchi kwenye hali ngumu, ameweza kumwaga pesa nyingi kwenye miradi kushinda Awamu yoyote wa kabla yake
Dah!
Kumbe vyombo vya habari vya Tanzania vipo huru?
 
Hapa watu hawapotezwi? linaongelewa jambo la tabia kusifia sifia wewe unaleta chuki kwa mambo amabyo hata hapa yapo, nchi kama Rwanda kwa historia yao na hapo walipofikia yapo ya kujifunza..seriousness and respecting each other, siyo mizaha na unafiki uliopo hapa.
Details gani unazo mpumbavu wewe..sababu ya failures zako unajenga chuki na wivu, kama unachokozwa deal nao kimya kimya, tunataka kuona vitendo siyo kushout upumbavu hapa!
sasa kwa mihemko utafika wap, si urilax ueleze mambo taratibu kinagaubaga 🐒

sasa muungwana, TZ kwa Rwanda tutajifunza ni baba wewe 🤣

yaa tuige kupoteza watu kimya kimya mpaka huko waliko duniani? utakumbuka hata kuna moja alipotezwa humu humu nchini. hayo ndio ya kujifunza? 🐒

ningekua mvivu na mwenye wivu, Lazima ningekua na mihemko na ghadhabu kama zako vile. Na hiyo ni dalili za tabia ya mtu mzima ambae bado anaishi kwa wazazi 🐒

Rwanda imefika wapi bana acha upotoshaji eti kuna ya kujifunza.

kwamba kwamba Rwanda kunarespect, right?
wanarespecti nini sasa ? wanamresprct Rais au wanamuogopa, kwamba wanarespect haki, uhuru, usawa, uwazi au wana uchaguzi huru, wa wazi na wa haki tukajifunze 🤣

kwamba Rwanda wako serious 🤣 serious kupotezana, kuiba madini congo au kufadhili m23🐒

useless and none sense 🐒
 
Huwezi kuta hata waziri wa Fedha wa Rwanda anapost picha ya Kagame akimsifia sifia usidhani hakuna kitu wanafanya, wanafanya mengi ila huwezi kuta waziri wa Fedha wa Rwanda anafanya huo Ujinga.Burundu the same, Uganda the same.

Kenya ndio kabisa Waziri wa fedha hawezi na haitakaa itokee kufanya uchawa wa kuabudu Ruto.

Sasa njoo Tanzania Facebook profile ya waziri wa fedha imejaaa picha za Raisi Samia yaani haipiti wiki hajasifia. Hizi ni dalili za udhaifu na njia pekee ni kwa waziri kuabudu na kulamba miguu.

Nina uhakika tungekuwa na Waziri wa Fedha kama Kimei asingefanya huo ujinga.

Hata mpango alikuwa hafanyia huo ujinga wa dailt kusifia.

Mwiguru nimweupe sana kichwani, na njia pekee ya yeye kuendelee kuwepo offisini na kupiga pesa ni yeye kusifia na kuabudu
View attachment 2963678

Pia soma: Mwigulu: Licha ya Rais Samia kupokea nchi kwenye hali ngumu, ameweza kumwaga pesa nyingi kwenye miradi kushinda Awamu yoyote wa kabla yake
ANAKULA KWA UREFU WA KAMA
 
You have no idea of what you r putting here..but too junior to stage a conversation with me, its not bad when a person decides to remain fool if being foolish does not harm others!
 
anyway,
relax bana,

mihemko sio deal inakufanya tu upoteze direction, na kupoteza maana ya hoja iliyopo mezani, na zaidi sana inapoteza umuhimu wa majadiliano kwa kubadilishana maoni na mitazamo jua ya mambo mbalimbali, lakini pia kuongeza ufahamu na uelewa jua ya yanatoendelea maeneo mbalimbali duniani 🐒

relax and enjoy the day
 
Huwezi kuta hata waziri wa Fedha wa Rwanda anapost picha ya Kagame akimsifia sifia usidhani hakuna kitu wanafanya, wanafanya mengi ila huwezi kuta waziri wa Fedha wa Rwanda anafanya huo Ujinga.Burundu the same, Uganda the same.

Kenya ndio kabisa Waziri wa fedha hawezi na haitakaa itokee kufanya uchawa wa kuabudu Ruto.

Sasa njoo Tanzania Facebook profile ya waziri wa fedha imejaaa picha za Raisi Samia yaani haipiti wiki hajasifia. Hizi ni dalili za udhaifu na njia pekee ni kwa waziri kuabudu na kulamba miguu.

Nina uhakika tungekuwa na Waziri wa Fedha kama Kimei asingefanya huo ujinga.

Hata mpango alikuwa hafanyia huo ujinga wa dailt kusifia.

Mwiguru nimweupe sana kichwani, na njia pekee ya yeye kuendelee kuwepo offisini na kupiga pesa ni yeye kusifia na kuabudu
View attachment 2963678

Pia soma: Mwigulu: Licha ya Rais Samia kupokea nchi kwenye hali ngumu, ameweza kumwaga pesa nyingi kwenye miradi kushinda Awamu yoyote wa kabla yake
Yaani waziri wa fedha anakuwa chawa du!
 
Watu wengi wenye uwezo na wanaofanya uovu kupitia nafasi zao hujitahidi kumpofusha mkubwa wake wa kazi kwa rushwa ya sifa. Na boss usipokuwa mwerevu unapofuka hasa. Na ukishapofuka, unakuwa umempa uhuru wa kufanya lolote analotaka.
Sahihi kabisa
 
Inanikumbusha miaka yanyuma majirani zetu walikuwa na mtukufu Rais yaani alikuwa anatajwa kila baada ya dakika tano redioni , kweli miafrika tuna safari ndefu sana kujitambua na kujikwamua.
 
anyway,
relax bana,

mihemko sio deal inakufanya tu upoteze direction, na kupoteza maana ya hoja iliyopo mezani, na zaidi sana inapoteza umuhimu wa majadiliano kwa kubadilishana maoni na mitazamo jua ya mambo mbalimbali, lakini pia kuongeza ufahamu na uelewa jua ya yanatoendelea maeneo mbalimbali duniani

relax and enjoy the day
Wewe mke wa mwigulu naona unaumia Sana mmeo akisemwa humu
 
kiufupi hizo ni mbinu za medani za kijambazi
--inaitwaa rushwa ya maneno matamu
-puliza na kung'ata tabiA za panya
-hata ukiwafanyia police utachomoka hata kama kosa ni lako unawapa na mchele kidogo
- tabia za wezi, majambazi,.
-umepewa kazi fanya kazi acha kuabudu watu
 
Back
Top Bottom