ProBook JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 558 Reaction score 265 Sep 10, 2013 #1 *Taifa ambalo mabinti wakimuona mzungu wanadhan ana hela *Taifa ambalo ukiongea kingereza umesoma sana *Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we mjanja japo vocha za jerojero *Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu na mapolice *Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila analalamikia tanesco wanaboa *Taifa ambalo warembo wameshaona wao ni wakupewa daima *TAIFA ambalo vijana wanalalamika hawana hela mpe dili analeta longolongo *Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZ UNATOA 2 LIFTI KI2 Shaaaaaaaaa!! *Taifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui kusoma wala kuandka. ENDELEZA Taifa ambalo...................................
*Taifa ambalo mabinti wakimuona mzungu wanadhan ana hela *Taifa ambalo ukiongea kingereza umesoma sana *Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we mjanja japo vocha za jerojero *Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu na mapolice *Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila analalamikia tanesco wanaboa *Taifa ambalo warembo wameshaona wao ni wakupewa daima *TAIFA ambalo vijana wanalalamika hawana hela mpe dili analeta longolongo *Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZ UNATOA 2 LIFTI KI2 Shaaaaaaaaa!! *Taifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui kusoma wala kuandka. ENDELEZA Taifa ambalo...................................
S Saitot JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 613 Reaction score 152 Sep 10, 2013 #2 Taifa ambalo , mwanaume mzima anakaa bar, harafu akikuona anaagaiza huku akimwagiza muhudumu we ulipe( mizinga hiyo)
Taifa ambalo , mwanaume mzima anakaa bar, harafu akikuona anaagaiza huku akimwagiza muhudumu we ulipe( mizinga hiyo)