Taasisi kwa lugha ya kigeni ni INSTITUTIONS which refers to laws, regulations, institute, policies, by laws even customs and traditions. Hizi ndio hutawala na ubora wa institutions ndio ubora wa maafankio na tabia ya institutions uadhibu pale unapoenda kinyume na ukwel hapa ni kuwa unapotengeneza insitutions mbovu tegemea kupata adhabu yake na unapotenda haki ya kuzitendea haki pia utapata mafanikio makubwa sana.
Ni kweli ni binadamu ndio hutengeneza instutions lakini ukweli ulopitilza ni kuwa institutions ndio hutawala na bnadamu hufanya coordinations na reinforcements tu. CCM wameenda kinyume na institutions walizojiwekea na knachoendelea ni somo kubwa kwetu kuwa institutions ndio zinazowadhibu sasa na wao kwa uelewa wao wanaona kla kitu kko sawa na watu ndio wanaowaonea au kuwasaliti kitu ambacho sio kweli la kinachowaadhibu wamesahau kuwa wameenda knyume na institutions zao na hapo pana somo kubwa sana hata makazini mwetu pale mtu anaposhindwa kufuata utaratibu pia unaachshwa kazi unanuna hapana sio mtu aliekuadhbu pale institutions zimekuadhbu tena vizuri.
Hapa naomba nieleweke kuwa nstitutions zina pande mbili na zote hutoa matokeo unafanya kulngana au kutolingana pia .
CHADEMA wanapata umaarufu kwakuwa waneenda kulingana na institutions walizojiwekea na institutions hizo zimewatendea haki wakat wenzao wameenda kinyume na institutions wanapata adhabu sasa.
LOWASSA NA SUMAYE mko sahihi mumeendaa UKAWA mumefuata instututions zinazotoa ushirikiano na kutoa suluhisho sahihi nashangaa munawashangaa hawa watu na kuwatumia maneno mengi mnasahau kuwa sio binadamu ila institutions ndio hutawala walikuwa mafisadi au wezi au vyovyote vile ila wameenda kuwa chini ya institutions imara na zinazoongoza vyema na wao wanaenda kutekeleza institutions hizo na kuendelea kuwa wafanyakazi wa institutions hzo.
SLAA KWENDA CCM
Ni suala la heri sana kwa ccm na kwake binafsi ila si suala la maslah mapana ya TANZANIA kwanini nasema hvyo mambo yalivyo hapa hatupngani na kiongoz ila INSTITUTIONS zilizopo na ninaamni CCM kuna viongozi wazuri ila institutions tayari sasa ni wakati wa institutions kutoa adhabu na kweli tunasubir kuona
ITAENDELEA..................................................