G Classic Og Member Mar 9, 2021 9 3 Mar 11, 2021 #1 Bwana mimi naona kama nakaribia kula Red Card maana naweza kumsalimia tuu Umeamkaje My.... Akijibu Salama Love ndio basi. Niokoeni kwenye hili
Bwana mimi naona kama nakaribia kula Red Card maana naweza kumsalimia tuu Umeamkaje My.... Akijibu Salama Love ndio basi. Niokoeni kwenye hili
MIXOLOGIST JF-Expert Member Mar 1, 2016 12,695 31,499 Mar 11, 2021 #2 Komaa na shule dogo achana na ma-lovey dovey dovey
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Mar 11, 2021 #3 Mwambie una mpango wa kwenda Nairobi kupitia India lazima atacheka na kuanza kukuuliza maswali ya hapa na pale kuwa utatumia usafiri gani n.k Nalog off
Mwambie una mpango wa kwenda Nairobi kupitia India lazima atacheka na kuanza kukuuliza maswali ya hapa na pale kuwa utatumia usafiri gani n.k Nalog off
Luvanga1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 2,025 1,701 Mar 15, 2021 #5 Muulize mara ya mwisho kula Matikiti maji ilikua lini
Pablo 119 JF-Expert Member May 19, 2018 1,502 1,909 Mar 16, 2021 #6 Muulize kama kwa mapalange ashawahi kufika Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app
G Classic Og Member Mar 9, 2021 9 3 Mar 18, 2021 Thread starter #7 mtanganjia said: Muulize kama kwa mapalange ashawahi kufika Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app Click to expand... umeongea point
mtanganjia said: Muulize kama kwa mapalange ashawahi kufika Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app Click to expand... umeongea point
G Classic Og Member Mar 9, 2021 9 3 Mar 18, 2021 Thread starter #8 Luvanga1 said: Muulize mara ya mwisho kula Matikiti maji ilikua lini Click to expand... Sawa mkuu