Leta 259,999 nkupe iPhone 4,16gb
ushaambiwa 150 shehe..
Nipe hata mawazo hicho kiwango usikijali sana..I trust u kwenye masuala ya simu
Habari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni
nunua tecno P3 ni nzuri sana
Blackberry ipi hiyo?Ndugu kwenye picha na music hakuna simu inayopita blackberry
Sasa anataka ya kilo na nusu unategemea aambiwe iPhone au? hizo ndizo zinachezea range anayoweza miliki,mkuu p3 hakuna kitu..usimdanganye jamaaa....ktk simu zeny camera mbovu p3 inaongoza
Blackberry ipi hiyo?
Jaribu kua very specific sio neno tu blackberry, wana simu nyingi mno na nyingi vimeo...
Habari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni
Kanunue Blackberry Used hata ikiwa na 2 MP huwa inatoa picha yenye kiwango kizur sana!
2MP kiwango kizuri? Nadhani ni utani huu!