Ni simu ipi yenye kamera nzuri

Ni simu ipi yenye kamera nzuri

Chief mkwawa bora umekuja heb niambie hapo
sory ni Nokia n86 sio n80
Nokia n86 simu ya kwanza kua na camera ya 8mp na quality yake pia ni nzuri sana sema ni simu ya kizamani tu. pia internal memory ni 8gb.

nokia-n86.jpg


hii ndio simu ukitafuta Utapata camera nzuri.

pia n8 unaweza ipata used kwa bei hio ila ni bahat tu maana bado zina soko
 
Ni kweli mkuu ila blackberry nyingi tena nyingi zote ziko poa maeneo hayo wala huitaji kudowload ujinga mwngne kuweka mbwembwe, kwaa ushauri tu kuanzia model za 9000 naa kuendelea
Usimahauri mtu kununua blackberry 9000 siku nyingine... kile ni kimeo cha hali ya juu, 128MB RAM, 2MP camera, 648MHz processor afanyie nini? hiyo hata video ya 480p inakwama...
 
Usimahauri mtu kununua blackberry 9000 siku nyingine... kile ni kimeo cha hali ya juu, 128MB RAM, 2MP camera, 648MHz processor afanyie nini? hiyo hata video ya 480p inakwama...

Hyo yako nahic ilikuwa na shida zake binafsi nmetumia ile simu kwa miaka mi3 na ndo simu iliyonifanya niendelee kutumia BB mpk sasa
 
Kama wewe nimtumiaji wa nokia?NOKIA X2~00 itakufaa. camera yake ina 5 mega pixel
 
Sitanii!! Mwaka 2008 hadi 2011 nilikuwa natumia Nokia 6270, ina 2 MP lakini Quality ya picha zake huwez hata kuzifananisha na picha za Tecno P3 ambayo pia natumia kwa sasa na ina 3 MP! Niliweza hata ku attach picha zake kwenye Projects mbalimbali na zilikubalika!

Mkuu uko sahihi..... Mimi natumia Nokia Asha 210 kama secondary phone ambayo ni 2MP tu. Picha ambazo nilipiga halafu nikahamisha katika smart phone sikuamini macho yangu. Nadhubutu kusema inashinda hizi tecno za bei rahisi zenye android kama hiyo P3
 
Back
Top Bottom