Mkuu asante sana kwa uchambuzi wako.performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.
According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.
Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.
4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)
Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,
Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800
Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.
ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.
display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.
camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.
Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,Samsung ni wazuri simu ikiwa mpya ila ukimaliza warranty tu unaanza kutembea na power bank. Hapo ndio matatizo yanapoanzia achilia mbali ukivunja kioo.
Wakati Tecno kioo ni 60-80k hao Samsung wao bei ya kioo itakuwa sawa na 80% ya bei halisi ya simu husika
Kwa 2G na 3G mitandao yote inafanana mkuu, hakukuwa na bands nyingi, mfano 3G Tanzania wote wanatumia 2100MHz.Mkuu asante sana kwa uchambuzi wako.
Ila naomba unichambulie zaid hizi band za mitandao ya tanzania ili kama ntanunua simu nijue kabisa band za tanzania zipo zote au laa.
Mfano tigo kuanzia 2G,3G na 4G
Airtel pia na ttcl pia na voda pia
ili kama ntanunua simu basi nijue kabisa nanunua sim yenye uwezo gan
Mkuu haideserve zaidi ya laki 3 thamani yake, ikizidi Sana labda 350K sababu ya storage kubwa. Hivyo ukiipata within budget ni simu nzuri.Mkuu ivi Oppo a83 gb 64 ni nzuri..
Mkuu haideserve zaidi ya laki 3 thamani yake, ikizidi Sana labda 350K sababu ya storage kubwa. Hivyo ukiipata within budget ni simu nzuri.
Uzuri wa A10 ina processor yenye nguvu zaidi,290k jamaa ana taka aniachie mzigo ndo nilkua najiuliza if ni nzuri kwa matumizi japo pia ana A10... Inabidi nichague moja
Sawa sawaUzuri wa A10 ina processor yenye nguvu zaidi,
Uzuri wa hio oppo ni 4GB ram na 64GB storage ambavyo ni double kwenye A10.
Display Kama zinafanana.
Pia oppo haina 4G ya Tigo na smile ambayo inapatikana maeneo mengi, utapata 4G ya Tigo inayopatikana mijini tu.
Ni fair kwa hio Bei mkuu.
Mkuu wewe ni mchambuzi bora.Uzuri wa A10 ina processor yenye nguvu zaidi,
Uzuri wa hio oppo ni 4GB ram na 64GB storage ambavyo ni double kwenye A10.
Display Kama zinafanana.
Pia oppo haina 4G ya Tigo na smile ambayo inapatikana maeneo mengi, utapata 4G ya Tigo inayopatikana mijini tu.
Ni fair kwa hio Bei mkuu.
Ahaa basi A10 ni cheaper.mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,
vioo hivyo ghali vya samsung ni vile vyenye quality kubwa ambavyo hakuna kampuni nyengine inayoweza kuvitengeneza.
Samsung zinazocompete na Tecno Kama Galaxy A10 ambazo hazina amoled na resolution ni ndogo Bei ya display pia ni ndogo, mfano display ya A10 eBay ni chini ya dola 30.
tatizo sio super AMOLEDA10 ni simu nzuri na ndo natumia adi now ila hio s4 imepambwa kwa camers na storage ila uwezo halisi wa utendaji wa simu A10 sawa
Tecno pouvoir 2 pro1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,
vioo hivyo ghali vya samsung ni vile vyenye quality kubwa ambavyo hakuna kampuni nyengine inayoweza kuvitengeneza.
Samsung zinazocompete na Tecno Kama Galaxy A10 ambazo hazina amoled na resolution ni ndogo Bei ya display pia ni ndogo, mfano display ya A10 eBay ni chini ya dola 30.
Umenunua shs ngapi A10.Nimepata A10,iko vizuri sana ,asante kwa muongozo@chief-mkwawa
Umenunua shs ngapi A10.
Wapi hapo ?280000
Wapi hapo ?
Morogoro