Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Ebay unaagizaj boss
mkuu unakuta simu ilikuwa ni ya milioni 2, umeuziwa used laki 5, hivyo ikiharibika kioo lazima uchanganyikiwe ukiambiwa kioo laki 6,

vioo hivyo ghali vya samsung ni vile vyenye quality kubwa ambavyo hakuna kampuni nyengine inayoweza kuvitengeneza.

Samsung zinazocompete na Tecno Kama Galaxy A10 ambazo hazina amoled na resolution ni ndogo Bei ya display pia ni ndogo, mfano display ya A10 eBay ni chini ya dola 30.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C18D1765-7182-4F6F-986E-546B044E7CE4.jpg



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Samsung s8 inanizingua i naandika " custom binary blocked by frp" naweza pata utatuzi kwelii?
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
. TSH .
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

โ„•๐”น; ๐•๐•€๐•†๐•† โ„•๐•€ ๐•†โ„๐•€๐”พ๐•€โ„•๐”ธ๐•ƒ, โ„•๐”ธ ๐•Ž๐”ธโ„โ„๐”ธโ„•๐•‹๐• ๐•๐”ธ ๐•„๐•€๐”ผโ„ค๐•€ ๐•„๐•€๐”ผโ„ค๐•€ ๐Ÿž

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Redmi note 8 3gb ram version last time ilikuwa 316k hapo kenya, ya 4gb ukitafuta vizuri pia unaweza pata kwenye hio range.
Mkuu hivi hapa mtu unawezaje kuchukua bidhaa kenya kama hauna mtu je kuna soko makini ambalo unaweza agiza mtu na mzigo ukafika!?
 
Mkuu hivi hapa mtu unawezaje kuchukua bidhaa kenya kama hauna mtu je kuna soko makini ambalo unaweza agiza mtu na mzigo ukafika!?
Sijawahi agizia ila ushuhuda humu ndani watu wananunua Avechi na walikuwa wakipokelea Ubungo maji. Sema Avechi bei zao ni standard sana, nahisi ni Duka tu kubwa La online, jumia ndio kunakuwa na wauzaji tofauti tofauti na Bei nzuri. Hivyo kama una mtu kununua jumia ni vyema zaidi.

PYD
 
Kwa anae jua Redmi note 9 kwenye maduka ya sim mikoani aniambie maana kwa upande wangu siwezi agiza sim wala kununua Tigoshop kwani tigoshop itakulazim utumie line ya Tigo kwa upande mmoja. Hii ni kutokana na kuusoma huu uzi na kujua ushauri ulio tolewa Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom