Ni silaha aina gani hii

Ni silaha aina gani hii

huzo ni Fn P90 ni mziki sana, hutumika sana na special force ktk specia task,

mziki wq Belgium ni jamiii moja ya Smg kundi la submachine gun. Ni nyepesi kulinganisha na SMG, inanguvu na speed ktk utoaj risasi.

ila sio silaha ya mapigano ya umbali mrefu.
Hivi unajua hizi za kibongo tunazoziita SMG si kundi la SMG bali ni assault rifles kama ilivyo AK47. Zile chinese Assault rifle. Ndiyo maana hata ukicheki info zake kwa jina la SMG huwezi kuziona online.... Ni sisi watanzania tu tumezibatiza SMG ila si kundi lake
 
Nimeitumia kwenye game za call of duty😀 tu naipenda hiyo na ak47 hazisumbui mambo ya kuliroad coz magazine yake inaingia risasi nyingi. Hata jina siijui.
 
Nimeitumia kwenye game za call of duty[emoji3] tu naipenda hiyo na ak47 hazisumbui mambo ya kuliroad coz magazine yake inaingia risasi nyingi. Hata jina siijui.
[emoji109][emoji109][emoji109]kabisa mkuu ukiimaster simulation ya call of duty unawapita mbali sana hawa jamaa mkiingia field the simulation is the best. Mostly Agents and officers are trained on standard shoulder weapons that include the FN P90 submachine gun
 
Back
Top Bottom