Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,998
- 79,073
Jamaa mkono wake kuna space kati ya fore arm na bicep. Huku fore arm imetanuka.
Means anafanya sana mazoezi ya resistance, push ups, pull ups na ngumi.
Mishipa inaonekana clearly.
Means ametoka kufanya hayo mazoezi, au ana zaidi ya siku tatu anafanya hayo mazoezi ila pia hanywi maji mengi.
Miwani nyeusi.
Hataki mtazamane. You can always sense fear in eyes.
Also usimsogelee