Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Wakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juu
Manati ya kizunguWakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juuView attachment 1618000
Kama vile uzi gunWakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juuView attachment 1618000
UZI gun zile ni ndogo mkuuKama vile uzi gun
Sniper machine gun!!?? Ivo unajua maana ya 'sniper'?custom rifle,, sniper machine gun , ina uwezo balaaa
Yapz ila zipo za matole tofauti. Zina mwaga njugu zilee baraaa kabisaa.. huwa nazi enjoy kwemye game tu..UZI gun zile ni ndogo mkuu
UZI gun zile ni ndogo mkuu
Nikadhani ni modern MP5custom rifle,, sniper machine gun , ina uwezo balaaa
Kwasababu wanajua ushindi wao sio wa halali.Andamana uone watu wamejipanga
Ha ha ha haaa ,fanya Kama inakubali matokeo maana hakuna namnaKwasababu wanajua ushindi wao sio wa halali.
huzo ni Fn P90 ni mziki sana, hutumika sana na special force ktk specia task,Wakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juuView attachment 1618000
sio riffle hiyo haipo kundi hilocustom rifle,, sniper machine gun , ina uwezo balaaa
Mp 5 zipo tofaut kabisaa. ila nazo ni tamuNikadhani ni modern MP5
Sura si ya Kitanzania lakini.Andamana uone watu wamejipanga
Mimi hiyo bunduki nimeiona kwenye GTA V. Wewe game gani limekwambia ni Uzi? Uzi si ni ghetto gun?Yapz ila zipo za matole tofauti. Zina mwaga njugu zilee baraaa kabisaa.. huwa nazi enjoy kwemye game tu..View attachment 1618075View attachment 1618076