Ni sifa zipi za kujiunga na CHUO CHA JESHI MONDULI

Tulia, Ng'ombe hawaishi mjini. Ashamwambia mleta mada ajipange...tulia Mtu afaidi windo lake.
Aisee hilo windo labda aokote mzoga.... Maana haitaji unajimu Kujua kwamba uwezekano wa Kwanza pure civilian kwenda pale Moja kwa Moja hata kama angekuwa na one ya 3 ni nearly imposible sembuse form 4 failure?
 
Mpeleke Jkt akajitolee miezi 6 ya mafunzo kisha miezi takribani 12 atakuwa anazalisha mali yani hapo atafanya fatiki za kila aina sifa awe.mvumilivu na afungue moyo ni vyema asifanye usail wowote ule zaid ya usail wa TPDF baada ya hapo akienda RTS basi apambane ili aweze kuwa Ts(Trained soldier) Jeshi gumu ila Moral ndio siri ya mafanikio akimaliza muda flani tangu kutoka RTS atapiga Level 3 ili awe mwanajeshi kamili (Private Soldier) nadhani safari yake itaishia hapo ila kama akitaka kuwa Oficer yan kuanzia Nyota moja Tiketi ya Kumpeleka Monduli (TMA) ni Elimu ya Kuanzia kidato cha sita ,Diploma au Degree #
Afungue Moyo Kazi Ya Jeshi Ni Ngumu #
 
Wanaosoma TMA ni wanajeshi sio raia na hakuna application ila unakua selected directly from jwtz after meeting the qualification.
 
Mkuu hawezi kwenda monduli bila kupitia jkt,,, haraf kwa elimu yake ya form 4 itakua ngumu at list angekua form six,, Kama anapenda jeshi aende jkt akajitolee miaka miwili afanye kazi za watu,, haraf asubir ajira, lkn inabidi awe mvumilivu maana jkt sio mchezo
Kwa taarifa sasa hivi wanatoa degree kwa hiyo pamoja na ufitness wa JKT lazima ufaulu wake uwe wa kiwango kinachotakiwa kwenye vyuo vingine vinavyotoa degree kwa credit za juu
 
Habari wakuu...
Nina mtoto wangu wa kiume amemaliza form four mwaka 2015 ,bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri ..
Kwa mwaka mzima tumekaa nae ndani akiwa hajui aamue afanye nn
Lakin kama mzazi nimempeleka course tofauti tofauti nikisubr aamue nn utakuw mustakabali wa maisha yake..
Jana Kaja Na idea mpya kwamba anatak kwend jeshi nikimuangalia ni kweli anapend jeshi
lakin nilikuwa nataka asipite kwa njia za mkato
Kwahyo naombeni kujua

hvi ni sifa gani unazotakiwa Uwe nazo ili ujiunge na chuo cha mafunzo ya kijeshi MONDULI..?

Huwez kuwa muhitimu wa kidato cha 4 na uka apply?

Ada ni shngap?
Plz wadau nataka nimalize hili jukumu la Kijana wangu.
Namsikitikia sana huyo mtoto. Usisahau pia kumuombea mkopo (Loan Board) akiwa huko chuoni.
 
Mwenzio yuko serious wewe unaleta masihala. TMA inatoa bachelor of Military Science . Sasa huyo aliyefeli form 4 hata form 5 zoa zoa hakufaa, hana sifa ya chuo kwa degree.... Sasa hajipange vip kupata nafasi TMA pamoja na sifa nyingine za kijeshi anapaswa awe na vigezo vya TCU maana hiyo degree ya TMA itatambuliwa TCU maana in take ya kwanza ndo wapo 2nd yr kama sikosei
Pole sana kwa fikra hizo za kizamani sikuwa na utani hata kidogo.
 
Ni utuni au unamwandalia mazingiza ya Kumwingiza kingi. Form 4 failure atapataje nafasi ya kujiunga na degree - tena ya Military Science. Naomba ufafanuzi ulimaanisha nini ulipo sema AJIPANGE?
Pole sana kwa fikra hizo za kizamani sikuwa na utani hata kidogo.
 
Habari wakuu...
Nina mtoto wangu wa kiume amemaliza form four mwaka 2015 ,bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri ..
Kwa mwaka mzima tumekaa nae ndani akiwa hajui aamue afanye nn
Lakin kama mzazi nimempeleka course tofauti tofauti nikisubr aamue nn utakuw mustakabali wa maisha yake..
Jana Kaja Na idea mpya kwamba anatak kwend jeshi nikimuangalia ni kweli anapend jeshi
lakin nilikuwa nataka asipite kwa njia za mkato
Kwahyo naombeni kujua

hvi ni sifa gani unazotakiwa Uwe nazo ili ujiunge na chuo cha mafunzo ya kijeshi MONDULI..?

Huwez kuwa muhitimu wa kidato cha 4 na uka apply?

Ada ni shngap?
Plz wadau nataka nimalize hili jukumu la Kijana wangu.
Uwe mjeda.
 
Ni utuni au unamwandalia mazingiza ya Kumwingiza kingi. Form 4 failure atapataje nafasi ya kujiunga na degree - tena ya Military Science. Naomba ufafanuzi ulimaanisha nini ulipo sema AJIPANGE?
Ndio kitu pekee unachokijua kinafundishwa?
 
Back
Top Bottom