Mkuu, kama unataka shirika la uhakika tumia DHL lakini bei zinatisha.
Mimi huwa natumia posta bei rahisi na sijawahi kupoteza, mfano kusafirisha laptop kwa posta ni dola 105 tu ndani ya siku 7 umepokea.
Dhl si chini ya dola 160

Je, hiyo laptop naweza kutumia posta ya moshi kilimanjaro maana ndio ninakoishi
Nahofia usafirishaji kutoka dsm mpaka moshi kwa njia ya posta haitasumbua
Msaada wako mkuu