Ni shirika lipi salama zaidi kwa usafirishaji wa bidhaa kutoka Marekan kuja Tanzania?

tiazo

Member
Jan 24, 2013
68
125
Kuna mtu anataka anitumie laptop kutoka Marekani.

Najua kuna mashirika yenye dhamana ya parcel zinazotumwa kutoka nje kuja Tanzania.

Je, ni shirika lipi liko salama zaidi?

Msaada tafadhali.
 

QUIGLEY

JF-Expert Member
May 23, 2015
27,736
2,000
Kuna mtu anataka anitumie laptop kutoka marekani

Najua kuna mashirika yenye dhamana ya parcel zinazotumwa kutoka nje kuja Tanzania
Je ni shirika lipi liko salama zaidi?

Msaada tafadhali.
Mkuu, kama unataka shirika la uhakika tumia DHL lakini bei zinatisha.
Mimi huwa natumia posta bei rahisi na sijawahi kupoteza, mfano kusafirisha laptop kwa posta ni dola 105 tu ndani ya siku 7 umepokea.
Dhl si chini ya dola 160
 

tiazo

Member
Jan 24, 2013
68
125
Mkuu, kama unataka shirika la uhakika tumia DHL lakini bei zinatisha.
Mimi huwa natumia posta bei rahisi na sijawahi kupoteza, mfano kusafirisha laptop kwa posta ni dola 105 tu ndani ya siku 7 umepokea.
Dhl si chini ya dola 160

Je, hiyo laptop naweza kutumia posta ya moshi kilimanjaro maana ndio ninakoishi
Nahofia usafirishaji kutoka dsm mpaka moshi kwa njia ya posta haitasumbua
Msaada wako mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom