tunahitaji tafsiri hapa, maana ya dereva wa 'bodaboda-kila mtu kaanzia na kiduchu................
Wala haimaanishi ulivyofikiri,
Maana yake ni kwamba madereva boda boda wamezoea kupenya penya katikati ya magari kwenye foleni,sasa kanunua gari basi anataka apenye pia maana kashazoea kuendesha boda boda,ndo maana kwenye picha inaonyesha jamaa yupo kati Kama anapenya flani.