Ni shidaa dating za siku hizi

Ni shidaa dating za siku hizi

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Wana MMU.

Msemo huu ni sahihi, Don't waste your time on me,You are already the voice of my heart.Haya ni maneno yaliyozingatiwa zamani wtk mahusiano ni one to one DATING au mahusiano yalikuwa one to one relationship and faithful.Zamani bibi zetu walifahamu kuingia kwenye mahusiano ni moja ya itikadi chanya ya mahusiano bora.

Waliangalia vigezo kama vifatavyo:

1) Bibi walifahamu kwamba mwanaume anayempenda hawezi kusikia aina yeyoye ya harufu mbaya kutoka kwake km vile vikwapa, ufundo wa viatu na n.k.

2) Bibi waliamini mwanaume aliyempenda hakika atamchunguza km ana desturi ya kuvaa nguo zake chakavu, anatunza nguo zake za zamani. Hii ina maana anaweza kutunza nguo na viatu bila kubadilisha bila sababu za msingi. Na hata akinunua anatunza old fashions na kuzivaa.

Lakini siku hizi banaaa chunguza wadada wana date mpaka wanaume zaidi ya kumi na wanawapanga watakavyo na wanapachikwa mimba bila kuzingatia misingi za mapenzi.

Kwa hali hii divorce na abortion hazitakwisha.

Tafakari.
 
Mapenzi ya siku hizi pesa, kama unayo wewe ndio unayefaa kama hauna ni " useless go home". Mfano mzuri mwangalie diamond(ndomo) anavyowakamatia, lile ndomo lake mademu wanasema ndo "swaga za mjini"
 
Hujakosea, ndio shujaa wangu na my twin so si vema tafakuri ngumu kama hii niitafakuri peke yangu. upo hapo gwahe

Mtatafakari sana,lkn bado ukweli unabaki, wasichana mnapenda fedha, nikitumia pesa nitakuwa nimekosea. Kwa hiyo hamna cha kutafakari hapo. Ndiyo maana mahondaw amesema mchukue hatua. Rudini kwenye weledi wa mabibi zetu na wanaume bora na wenye sifa na wenye fedha wapo.
 
Last edited by a moderator:

Tangu enzi na enzi, wanawake walikuwa wanapenda hiki au kile kwahiyo usidanganyike na fix za wazee za kutaka kutuonesha enzi zao walikuwa kama malaika! Kinachotofautiana ni mazingira ya kiuchumi tu but since then women after something!

Leo hii si ajabu kuona mademu wakijipeleka kwa watu kama akina Diamond Platnumz... enzi hizo hakukuwa na watu dizaini hiyo na matokeo yake wapiga ngoma hodari pamoja na waimbaji na wachezaji wao ndio walikuwa wanang'oa mashosti wa enzi hizo!!! Mwanaume hodari katika uwindaji angekuwa ndie mng'oaji wa totoz za ukweli kijijini... mwenye mbio kumzidi swala nae alikuwa ni kimbilio la dadaz za kitaa! Mpiga jembe hodari alikuwa ndie mwenye nafasi kubwa ya kung'oa nmtoto wa kishua! Wale ambao walikuwa wataalamu wa kujikosmetisha na maurembo ya jadi nao walikimbiliwa kama ambavyo leo hii totoz za mjini zinavyozimika kwa ma-handsome hata kama hawana hela! Kiboko ya nyani, ngedere na nguruwe kwenye mashamba ya watu angeweza kupewa mzigo ambao hata wewe mwenyewe leo hii ukisikia utabako mdomo wazi!

In short, women had been after something since then! Na ukitaka demu mkali lazima uwe na abc, otherwise waachiwe wenye kisu kikali wale nyama!
 
kijana tafakari, chukua hatua. usisahau mchepuko noma.
 
Mtatafakari sana,lkn bado ukweli unabaki, wasichana mnapenda fedha, nikitumia pesa nitakuwa nimekosea. Kwa hiyo hamna cha kutafakari hapo. Ndiyo maana mahondaw amesema mchukue hatua. Rudini kwenye weledi wa mabibi zetu na wanaume bora na wenye sifa na wenye fedha wapo.

wabheja sana. point noted
 
Bwana wewe tafuta pesa, habari za akina bibi waachie wao, hata sisi tutukuwa bibi na babu wa zama zingine. tafuta pesa ucmegewe wewe..
 
Bwana wewe tafuta pesa, habari za akina bibi waachie wao, hata sisi tutukuwa bibi na babu wa zama zingine. tafuta pesa ucmegewe wewe..
Apologise lady nitafute pesa mara ngapi. Pesa ninazo...!!

Kuwa bibi na Babu wa kesho inategemea ujana umeutumiaje na hao wajukuu wako unawafundisha nn. Hata miaka 500 kabla ya kristo. Wazee walikuwepo na matumizi mabaya ya uzee yalikuwepo. Endeleeni kutafakari.
 
Last edited by a moderator:
Nyakati zimebadilika, kila kitu vululu vululu, watu wamevurugwa hatariii, mapenzi waliyafaidi babu na bibi wakamalizia baba na mama.
 
Apologise lady nitafute pesa mara ngapi. Pesa ninazo...!!

Kuwa bibi na Babu wa kesho inategemea ujana umeutumiaje na hao wajukuu wako unawafundisha nn. Hata miaka 500 kabla ya kristo. Wazee walikuwepo na matumizi mabaya ya uzee yalikuwepo. Endeleeni kutafakari.

Ziingize kwenye matumizi sahihi a.k.a kumuhudumia mke, habari ya mke juvaa nguo ya mwaka jana ikome, wacha ubahili bhana!!
 
Back
Top Bottom