Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu.
Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa sana africa nzima ni kwa kile kinachoitwa jaribio la kuiteka nchi na kuwa ya kikoloni na utumwa watanzania wamekataa na D9 tutawaondoa.