Ni sawa kuuita mvinyo jina la Mtakatifu?

Mazur sana hasa kwako ukinywa kama mawili hivi halafu kuwepo na mziki Wa taratiiibu..
Hehehee! Unajikuta uko kiibra bila hata kutamkiwa neno

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Hhehheehhee yaani nijidunge chupa mbili za wine?? Nikiwa nyumbani naweza maliza chupa moja ya wine pekeyangu ila nikitoka naagiza glass kwa glass na aidha ntakunywa glass moja tuu au ya pili sitoimaliza yaani ntaondoka niache imebaki kwenye glasi.

Na pote hapo barafu itahusika sana, niko hivo.
 
[emoji23] [emoji23] kumbe unajali sana tahadhar!!!
 
Habari zenyuu nyotee.

Mida hii nilikuwa natafuta kitu nikakutana na hii wine kabatini. Nilipewaga zawadi basi nikaona si mbaya nikiitendea haki.

Kama kawaida yangu baada ya kunywa glasi mbili ndo nikaanza kukagua kinywaji nnachokunywa hehehehehee.

Nikashangaa.... imekaaje hii, yaani wine inaitwa Saint Mary wakimaanisha Mtakatifu Maria..... na ni white wine....

Ni sawa kuuita mvinyo jina la aliyebarikiwa?... au ndo ile habari ya kana ya Galilaya...!??

Huku nikiwa nashangaa jina la wine kachupa kumbe kameisha bana. Basi ndo nikasema nije kuwauliza.... huyu mwenye kutengenezahuu mvinyo kwanini aliweka Saint Mary...!!??

Au ndo uchokozi?? Au utandawazi!!???

View attachment 799145

Wewe unaonaje? ?! Imekaaje hii...

Cheers Baby Lacoste...

Kasie Crocodile Lacoste.
You got em sexy fingure tips...
 
Asante kwa kushukuru. Hakuna hangover zozote zile za St. Marry!?
Hakuna kwakweli, miaka kadhaa nyuma niliwahi kunywa namaqua wine bila barafu asubuhi yake hali niliyokuwa nayo, sikurudia tena kunywa namaqua. Na tangu siku hiyo hata hizi sweet wine nnazokunywa lazima niweke barafu za kutosha kanakwamba inakuwa nusu maji nusu wine na asubuhi nakuwa safi kabisa sina mningínio hata kidogo.

Sipendi kabisa ile hali ya mningínio ndo maana bia siwezi kunywa kabisaaa.
 
Habari zenyuu nyotee.

Mida hii nilikuwa natafuta kitu nikakutana na hii wine kabatini. Nilipewaga zawadi basi nikaona si mbaya nikiitendea haki.

Kama kawaida yangu baada ya kunywa glasi mbili ndo nikaanza kukagua kinywaji nnachokunywa hehehehehee.

Nikashangaa.... imekaaje hii, yaani wine inaitwa Saint Mary wakimaanisha Mtakatifu Maria..... na ni white wine....

Ni sawa kuuita mvinyo jina la aliyebarikiwa?... au ndo ile habari ya kana ya Galilaya...!??

Huku nikiwa nashangaa jina la wine kachupa kumbe kameisha bana. Basi ndo nikasema nije kuwauliza.... huyu mwenye kutengenezahuu mvinyo kwanini aliweka Saint Mary...!!??

Au ndo uchokozi?? Au utandawazi!!???

View attachment 799145

Wewe unaonaje? ?! Imekaaje hii...

Cheers Baby Lacoste...

Kasie Crocodile Lacoste.
Kasie Crocodile Lacoste.[emoji2][emoji173][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenyuu nyotee.

Mida hii nilikuwa natafuta kitu nikakutana na hii wine kabatini. Nilipewaga zawadi basi nikaona si mbaya nikiitendea haki.

Kama kawaida yangu baada ya kunywa glasi mbili ndo nikaanza kukagua kinywaji nnachokunywa hehehehehee.

Nikashangaa.... imekaaje hii, yaani wine inaitwa Saint Mary wakimaanisha Mtakatifu Maria..... na ni white wine....

Ni sawa kuuita mvinyo jina la aliyebarikiwa?... au ndo ile habari ya kana ya Galilaya...!??

Huku nikiwa nashangaa jina la wine kachupa kumbe kameisha bana. Basi ndo nikasema nije kuwauliza.... huyu mwenye kutengenezahuu mvinyo kwanini aliweka Saint Mary...!!??

Au ndo uchokozi?? Au utandawazi!!???

View attachment 799145

Wewe unaonaje? ?! Imekaaje hii...

Cheers Baby Lacoste...

Kasie Crocodile Lacoste.
Mie nangojea wine itakayoitwa "St Kasie." Ndipo nitaanza kunywa.
 
Back
Top Bottom