Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Habari zenyuu nyotee.
Mida hii nilikuwa natafuta kitu nikakutana na hii wine kabatini. Nilipewaga zawadi basi nikaona si mbaya nikiitendea haki.
Kama kawaida yangu baada ya kunywa glasi mbili ndo nikaanza kukagua kinywaji nnachokunywa hehehehehee.
Nikashangaa.... imekaaje hii, yaani wine inaitwa Saint Mary wakimaanisha Mtakatifu Maria..... na ni white wine....
Ni sawa kuuita mvinyo jina la aliyebarikiwa?... au ndo ile habari ya kana ya Galilaya...!??
Huku nikiwa nashangaa jina la wine kachupa kumbe kameisha bana. Basi ndo nikasema nije kuwauliza.... huyu mwenye kutengenezahuu mvinyo kwanini aliweka Saint Mary...!!??
Au ndo uchokozi?? Au utandawazi!!???
Wewe unaonaje? ?! Imekaaje hii...
Cheers Baby Lacoste...
Kasie Crocodile Lacoste.