my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
- #21
Sio chakula nawapa vp mbwa?
Sio chakula nawapa vp mbwa?
Ndio maana nahofia kuchukua kwasababu sna plan ya kua nae karibu.Sioni tatizo, ukizingatia mlisameheana.... ILA MWISHO WAKE HUWA NI KUPASHA KIPORO NA KUKILA.... ni ngumu sana kuchomoa
Hata kama ni Nguo au urembo wowote we wape utaona kituSio chakula nawapa vp mbwa?
Kashaitoa baada ya kumdissMimi sijui ila hiyo avatar yako hua inanifurahisha mno.. naweza tumia ata dk 5 kumuangalia huyo jamaa
Kurudiana tena? Kurudiana au kunitumia yote mawili haiwezekani bora nirudishe tuHuyo anataka mrudiane kashagundua alikosea au anataka akutumie tuu asepe... na hiki ndio kipimo cha akili ya mwanamke
Ukijua kwanini mliachana, ukajiuliza kwanini anataka kurudisha ukaribu... utakua na maamuzi sahihiKurudiana tena? Kurudiana au kunitumia yote mawili haiwezekani bora nirudishe tu
Kupasha kiporo kivipi?
kabanga mzungu sio ex bhana, si ndio mpya anasaidia my name is my name hadi anatomy.... Huyu anayejirudisha anataka kutupeperushia mzungu wetu
Kwa hiyo unapoandika huu uzi bado mkono wake umenyooka unakupatia hiyo zawadi?
Upokee au urudishe? Sijaelewa, kama kurudisha maana yake umeshapokea tayari. Sasa unarudisha ili iweje? Ungekataa kupokea kabisa kama kweli umpedi tena. Wewe huyo rudiana naye inaonekana bado mnapendana.Nashindwa kuelewa nipokee au nirudishe?
Ex boyfriend wng ameniletea zawadi. Yeye anasema niza birthday wakati birthday yng ilikua october ila yeye alikuwa ameenda nchini kwao sasa amerudi ameniletea zawadi anasema za birthday. Wakat tunaachana hatukuachana vizuri lkn baadae tukasameheana tukawa tunaongea km rafiki wa kawaida mara moja moja mpk sasa. Sasa ameniletea zawadi Nashindwa kuelewa nipokee au nirudishe? Au niwape wadogo zngu?