Ni sawa kupokea zawadi kutoka kwa ex?

Ni sawa kupokea zawadi kutoka kwa ex?

Mimi..Mambo ya EX sitaki hata kusikia..Hapa namuwaza mylove TU...natamani Angekuwepo close to me...

Oooooh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

SITAKI EX wala sirudu nyuma
Usiombee ex ukakuundia tume ya mashambulizi..
 
Huyu Huyu Mkuu... Doooh we acha tu
Wanawake mnapendaga kijinga kweli, yani pale unapoteswa ndio huambiwi husikii 😂😂😂 ila akitokea mtu anayekupenda kiukweli na kukujali mashauzi hayakuishi 😂!
 
Wanawake mnapendaga kijinga kweli, yani pale unapoteswa ndio huambiwi husikii [emoji23][emoji23][emoji23] ila akitokea mtu anayekupenda kiukweli na kukujali mashauzi hayakuishi [emoji23]!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aiseeee

Doooh we acha tu...Raha zimepitiliza kwake natokaje?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aiseeee

Doooh we acha tu...Raha zimepitiliza kwake natokaje?
Inaonekana ana ukuni mkubwa huyo mwamba ndio maana hupindui. Akikamata kiuno hiko anamwaga moto kwerikweri.

Kila ukiwaza kukosa ule uroda unaona bora uvumilie tu😂
 
Mimi..Mambo ya EX sitaki hata kusikia..Hapa namuwaza mylove TU...natamani Angekuwepo close to me...

Oooooh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

SITAKI EX wala sirudu nyuma

Hata wenzako huwa wanasema hivyo hivyo matokeo yako wanajazwa hadi mimba na Ex zao
 
Back
Top Bottom