Ni sawa kuoa mwanamke aliekuwahi mpenz wako awali?

Ni sawa kuoa mwanamke aliekuwahi mpenz wako awali?

Kraftwerk

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
227
Reaction score
327
Habari wana JF
I hope wote wazm wa afya naomb kuomba ushaur kuhusu hii issue.

Kuna ndugu yangu aliwahi kuwa n mwanamke wake na walipendana n walifanikiwa kuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo more than 4 years kwenye relationship tangu wanasoma.

Sababu ya kuachana n huyo she baada ya kumaliza kusoma girl alitafutiwa mume na familia kuolewa na nakumridhia mume wake n ndoa ikiwa yenye furaha.

Baada ya muda mrefu kuwa kwenye ndoa alibahatika kupata watt wawili wakike n wakiume mwanamke ndoa ikaanz kumshinda baada ya kurudiana n boyfriend wake wa awali.

Ndoa ilivunjika na kupewa talaka na aliekuwa mume wake akimuacha akiwa na watoto wawili.

Na aliekuwa boyfriend wake awali amerudiana na tunategemea ndoa next week n mahari imetolewa kwa mtazamo wako ndoa inaweza kudumu na aliwahi kuwa mpenzi wako?

SWALI: NI SAWA KUMUOA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA MPENZI WAKO AWALI SABABU IKIWA NI KUOLEWA N MWANAUME MWENGINE NA KUACHIKA AKIWA N WATOTO WAWILI?
 
Kipindi kigumu na kipimo cha mwanamke bora katika ndoa ni pale anapofikisha watoto wawili ndoani....Ni wachache wenye busara na malezi bora humudu kupita hapo, wengine maisha ya ndoa huishia hapo na kubaki wasimbe maisha yao yote! Wakizaa watoto wenye baba tofauti. Wakipingana na kukinzana na wakati...hujiona bado wana nafasi na kiburi cha mpito cha kutoka usichana kwenda uanamke.

Mpe pole rafiki yako kwa kuoa mwanamke asiye na msimamo.
 
Aliolewa akapewa talaka,mume mpya kalipa mahari,amepigwa,mke alipiwi mahari mara mbili toka kwa watu wawili tofauti no matter what
 
Aliolewa akapewa talaka,mume mpya kalipa mahari,amepigwa,mke alipiwi mahari mara mbili toka kwa watu wawili tofauti no matter what
Ko familia ya binti inazidi kuupigwa mwingi tu.. Naona inaumaliza mwaka vizuri tu na kahela ka kununua mazaga ya sikukuu!

Daah hii kali lakini bana mapenzi hayanaga formula wala mbabe.
 
Back
Top Bottom