njujujr
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 684
- 470
Kuna jamaa mpaka namuonea huruma
Jamaa amejipanga safi kimaisha ana duka kubwa tatizo lipo moja
Mwanamke wake ni wa kukata na shoka amepanda haswa mtoto wa kinyiramba huyo ila jamaa sasa mchaga sijui wa wap ni mfupi hata labda angekuwa ana umbo kubwa
Akikaa na mke wake unaweza sema mtoto wake ubaya mwanamke anavaa anavyojisikia kuna siku unaweza mkuta na paja zote nje jamaa huwa anakuja dukani mida ya jioni anaishia mwangalia mke wake ukimuona kimya kilijopitiliza kumaanisha hayuko sawa mbaya masela kama kawa
Najiuliza mwanamke kukuzidi umbo mara mbili ni chaguo sahihi kweli?