miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Aaaaaah nimeona nimeona mwanangu....umeweka avatar
ndiyo baba umepata....
Aaaaaah nimeona nimeona mwanangu....umeweka avatar
imesimama yenyewe tu hivi hivi?
mhm!...ndiyo baba mama ni mshapu sana
mhm!...
Nimeona mpendwa....
Siku ile aliahidi hatarudia
mama yuleyule asiyejinyima misosi??
Aaah hawezi......mke anauma mwanangu
Mwanangu hawezi kumtaja honey wangu
A a a a a a....
baba utafiti unaona sasa ameanza kukumbushia hayo mambo aliyekosea... nddiyo mama yangu na ninampenda sana
mi sina neno sikujua kama ni mshapu kiasi hicho...ila nachojiuliza kwanini ni mshapu kwenye vitu vya maakuli na vinavyohusiana navyo..?