huyu babako utafiti anafahamu chabo unazopijaga wakati wa mechi
A a a mwanangu hana iyo tabia na wala hajui maana ya ilo neno usianze kumfundisha mambo mabaya
A a a mwanangu hana iyo tabia na wala hajui maana ya ilo neno usianze kumfundisha mambo mabaya
acha kunichonganisha na baba.. kupiga chabo ndo nini?
Hapana mwanangu sio maana yake...bora usijue mwanangu[/QUOTE]
huyu mwanao si kashaolewa na Tembosa?"?
kupiga chabo- maana yake ni kumpenda mama yako..je ww unapiga chabo???
Hapana mwanangu sio maana yake...bora usijue mwanangu[/QUOTE]
huyu mwanao si kashaolewa na Tembosa?"?
baba huyuni mpenzi wangu tu yupo kwenye mchujo
Hapana mwanangu sio maana yake...bora usijue mwanangu