Kiukweli kabisa haina tatizo kama imeshapungua isiwe zile siku ambazo inatoka nyingi sana. Kwa kawaida kama siku ya tatu na kuendelea haina noma kabisaaaa!! Cha muhimu ni kumfuta mwenzio mapema nawe kunawa na kuvaa pedi tena mapemaaaaaa!! Kama mnakinai sana damu basi jioshe na maji ya mchele inatulia kidogo kwa muda!! tena unajua wakati wa siku zako huko chini kunakuwa kwa motoooo. Na kama inatoka kidogo unaweza kufanya bila hata mwenzi wako kujua