Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.
Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.
Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?

Hapa tatizo sio mtoto kujua baba zake, maana pia wanatakiwa wawajibike kwa malezi maana ni damu yao, ishu hapo ni jinsi mambo yanvyofanyika kienyeji, utafikiri wao ndio wenye mke.Ni sahihi.
Wewe hutaki mtoto ajue baba zake wadogo?
Kama unaona si sawa ulitegemea nini ulipooa mwanamke mwenye mtoto? Ulitegemea umkate mtoto kabisa kutoka familia ya baba yake?
hivi kila mwezi kuna majadiliano ya matunzo ya mtoto KWANINI? kwani mkishakubaliana ada ya shule ,mavazi,mahitaji ,muhimu kila mwezi utatoa kiasi kadhaa,majadiliano mengine yanini tena? au baba wakufikia ina wezekana hata mtoto akiumwa hutoi hela ya matibabu na kama unatoa ,nini kinaendelea,mimi nimepitia huko ila sijawahi kutamani majadiliano ya nini zaidi ya kuharibu ndoa yangu ,na je ulishamweleza mwenza wako kuhusu huo wasiwasi wako,minadhani ni muhimu wawe na makubaliano kamili,yanayoeleweka ,kama wanataka kumuona mtoto,wasubiri akifunga shule aende kusalimia kwa muda na kurudi na kama mtoto ni mdogo ,basi ijulikane wazi kwamba mama anampeleka mtoto akaonane na nduguze ,ila sio bar,nasio lazima mtoto apelekwe wao wanaweza kuja kumuona ukiwepo,UNAJUA SISI WAMAMA WAKATI MWINGINE TUNAHARIBU WENYEWE SASA ,UMEOLEWA BADO UNATAKA OFA ZA ZAMANI ZA NINI,KAMA UNAKITU UNATAMANI SI UMWAMBIE MWENZAKO NATAMANI NYAMA CHOMA ,KULIKO KUMFANYA MWENZIO AWAZE MPAKA AOMBE MSAADA ,ILA CHA MSINGI ZUNGUMZA NAE MKUBALIANE KITU KINACHOELEWEKA ,NA URIDHIKE MOYONI ILI MAISHA YAENDELEE,KILA LA KHERI.