Hahahah kama ulidonate...they are not your kids.......i cant wait to see my kids! nalea mimba utadhani yangu yaani
sio wangu kivipi? dna ikipimwa itamuonesha nani?Hahahah kama ulidonate...they are not your kids.......
Egg retrival yao ilifanyikaje????
Its not abt dna my dearsio wangu kivipi? dna ikipimwa itamuonesha nani?
ni sister wangu kabisa so ni watoto wa familia !tutawalelea sawaIts not abt dna my dear
The moment umedonate mayai yako na umesign fomu..... hao watoto sio wako
Huwezi kuwa na power over them
Yaani inabidi uwatizame toka mbaaaaaliiii( unless mama watoto akubali uwe nao karibu)
Usisahau huwezi jua kati ya 3 wepi wako...inabd uwapende sawa
Ooooh kumbe sister.....ni sister wangu kabisa so ni watoto wa familia !tutawalelea sawa
Wamesha kujaza wajanja?Mimba ya week mbili i mean ndo inaanza, ni sawa mama mjamzito kula asali?
Asanteni kwa ushauri.