Ni sahihi mama mjamzito kutumia asali ?

ndo inafaa sana kwa sababu ni dawa na akiweza apate kila siku kiasi na siku akijifungua mtoto kabla hajaonja kitu chochote alambishwe asali yule mtoto kidogo ndo anyonye maziwa ya mama
 
sio wangu kivipi? dna ikipimwa itamuonesha nani?
Its not abt dna my dear

The moment umedonate mayai yako na umesign fomu..... hao watoto sio wako

Huwezi kuwa na power over them

Yaani inabidi uwatizame toka mbaaaaaliiii( unless mama watoto akubali uwe nao karibu)

Usisahau huwezi jua kati ya 3 wepi wako...inabd uwapende sawa
 
ni sister wangu kabisa so ni watoto wa familia !tutawalelea sawa
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom