Ni sahihi mama mjamzito kutumia asali ?

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,736
2,000
Kwanza,
Hongera kwa kazi!

Endelea wala usitegee,Usimwache mhusika, na kwa mantiki hiyo, badilisha jina lako lisiwe miss natafuta, maana umeshapata.
Nirudi kwenye jibu la swali lako:
Asali na maziwa pekee ina uwezo wa kukufanya uishi maisha ya afya kupita vyakula vingine vyoye!
Kwa hiyo, Asali ni chakura bora kabisa na sukakari yake inabalasika mwilini kutokana na kuwemo aina zote tano zinazotengeneza mlo kamili.

Na Haina madhara kabisa!
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,966
2,000
Kitu tayari kimejipa mama, hongera Kwa Gori Mubashara
Kwanza,
Hongera kwa kazi!

Endelea wala usitegee,Usimwache mhusika, na kwa mantiki hiyo, badilisha jina lako lisiwe miss natafuta, maana umeshapata.
Nirudi kwenye jibu la swali lako:
Asali na maziwa pekee ina uwezo wa kukufanya uishi maisha ya afya kupita vyakula vingine vyoye!
Kwa hiyo, Asali ni chakura bora kabisa na sukakari yake inabalasika mwilini kutokana na kuwemo aina zote tano zinazotengeneza mlo kamili.

Na Haina madhara kabisa!
ahahaa sina mimba jamani bado natafuta nauliza kwa niaba ya mtu
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
12,028
2,000

Nimekulia Tabora vijijin, mkowa maarufu kwa uvunaji hasali na nta

Chama kikuu cha walina asali mkowani Tabora wakati huo kilijulikana kwa jina la KIPALAPALA

Nimezaliwa kwenye mazingira ya asali mimi na ndugu zangu.....asali ilikuwa moja ya vyakula nyumbani nakwa majirani

Asali ya masega

Asali iliyoandaliwa ikachemshwa na kukamuliwa (in liquid form)

Asali mbichi (in liquid form) nk

SIJAWAHI KUSIKIA KAULI HII......leo ndo mara yakwanza....

Siiamini na sinta iamini milele maana maisha niliyokulia watu walikula asali muda wote akiwemo mama yangu mzazi na hata ndugu, jamaa, majirani na marafiki.

huo ndio ushuhuda wangu

........................................................................
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom